Acha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta. Author: Enock Maregesi Copy Quote More from Enock Maregesi “Heri kuogopwa kuliko kupendwa kama huwezi kuogopwa na kupendwa kwa wakati mmoja.” “Kinachotokea leo kitatuathiri kesho. Mbegu tunazopanda sasa ni mazao ya msimu u…” “Kigumu kuliko vyote ni kizuri kuliko vyote.” “Watu wanahitaji elimu na ajira kuwaepusha na janga la madawa ya kulevya.”