Usipobadilisha maisha yako maisha yako yatakubadilisha. Autore: Enock Maregesi Copy Quote More from Enock Maregesi “Kitu cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine.” “Utakapofika mwisho wa njia, geuka. Huo ndiyo mwanzo wa njia nyingine.” “Kuzaliwa na kuishi ni mibaraka mikubwa ya Mwenyezi Mungu kuliko yote duniani.” “Kinachotokea leo kitatuathiri kesho. Mbegu tunazopanda sasa ni mazao ya msimu u…”