Kucheza muziki si lazima utingishe mwili kama mwendawazimu. Unaweza kucheza kwa hisia.
Enock MaregesiTags: music dancing feeling psychosis
Hekima ni ufunguo wa kufanya maamuzi mema kulingana na msingi wa maarifa ya Biblia.
Enock MaregesiTags: wisdom knowledge good key
Mungu hababaishwi na matatizo yako. Anababaishwa na imani yako.
Enock MaregesiZawadi bora ya maisha kwa mwanadamu si fursa ya kufanya kazi kwa bidii na kuwa kitu fulani katika jamii. Ni amani ya Mungu katika moyo wa mwanadamu.
Enock MaregesiMapenzi ni kiburudisho kikubwa kuliko vyote katika maisha.
Enock MaregesiTags: life love refreshment
Kupata kitu ambacho hujawahi kupata lazima ufanye kitu ambacho hujawahi kufanya.
Enock MaregesiKujamiiana si anasa tena katika maisha yangu. Ni hitaji muhimu kwa ujenzi wa familia.
Enock MaregesiTags: family sex reproduction luxury
Kemia huunda mahusiano mema miongoni mwa watu.
Enock MaregesiTags: relationships lust physics attraction chemistry
Sifa kubwa ya Murphy ni udadisi lakini kubwa zaidi ni unyamaume. Haogopi kitu. Anaheshimu sheria.
Enock MaregesiTags: informational
Kama huwezi kumpenda mtu usimchukie.
Enock MaregesiTags: love hate respect disrespect
« first previous
Page 6 of 10.
next last »
Data privacy
Imprint
Contact
Diese Website verwendet Cookies, um Ihnen die bestmögliche Funktionalität bieten zu können.