Kufanikiwa katika maisha ni kuwa tayari muda wowote kujitoa mhanga kwa ajili ya kitu unachoweza kuwa.
Enock MaregesiMsichana wa miaka 18 miaka ya 70 ni sawa na msichana wa miaka 8 leo. Msichana wa miaka 8 leo anayajua maisha kuliko msichana wa miaka 18 miaka ya 70. Tuwape watoto wetu haki yao ya msingi ya kuwa watoto katika siku za ujana wao, kabla hawajawa watoto tena watakapokuwa wakubwa.
Enock MaregesiMots clés freedom children change overprotection
Kujiingiza katika madawa ni matokeo ya maisha. Hatutumii madawa ya kulevya. Madawa ya kulevya ni sisi wenyewe; tunahitaji kusaidiwa.
Enock MaregesiMots clés drugs drug-war drug-addiction druggie drug-abuse
Situmii madawa ya kulevya. Madawa ya kulevya ni mimi mwenyewe; nahitaji kusaidiwa!
Enock MaregesiMots clés drugs drug-addiction drug-abuse
Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.
Enock MaregesiMots clés thrift wastefulness parsimonia extravagance
Kuwa tajiri si kazi rahisi. Ukipata milioni ya kwanza utataka nyingine kulinda hiyo ya kwanza. Ukipata ya pili utataka mbili zingine kulinda hizo mbili za kwanza, n.k. Si kazi rahisi. Si kama unavyofikiria. Utajiri haujanipa furaha. Umenipa uhuru. Ndugu zangu ni maskini wa kutupwa. Ningependa kuishi kama maskini mwenye pesa nyingi.
Enock MaregesiMots clés rich wealth poverty poor
Uraibu ni mbaya unapoathiri maisha ya mtu.
Enock MaregesiSerikali haifungi mtu kutokana na shinikizo la watu. Inafunga mtu kutokana na sheria za nchi.
Enock MaregesiMots clés law government pressure
Heri kufuta mashtaka kuliko kumfunga mtuhumiwa asiyekuwa na makosa. Kuonewa kunauma.
Enock MaregesiMots clés injustice dismissal suspect
Heri kuogopwa kuliko kupendwa kama huwezi kuogopwa na kupendwa kwa wakati mmoja.
Enock Maregesi« ; premier précédent
Page 5 de 10.
suivant dernier » ;
Data privacy
Imprint
Contact
Diese Website verwendet Cookies, um Ihnen die bestmögliche Funktionalität bieten zu können.