Mihadarati ni chanzo kikubwa cha matatizo ya wanadamu. Mshahara wake ni wazimu, uhalifu na mauti.
Enock MaregesiTags: drug-addiction
Vichwa vitatu vya sururu na chembe tatu za bunduki za Kalashnikov; na alama ya bahati, mafanikio, udhalimu na mwanzo mpya ya msalaba wa swastika, kama alama ya ujenzi na uhalifu wa Kolonia Santita.
Enock MaregesiTags: informational
Kila mtu hapa duniani ni jirani yako. Hakuna mtu mwingine hapa ulimwenguni isipokuwa sisi. Lazima tujifunze kuishi pamoja.
Enock MaregesiTags: peace-on-earth
Jibu nilichokuuliza. Utajibu, hutajibu?"
"Nitajibu."
"Usipojibu?"
"Nitajipaka rangi, ya pinki." Murphy hakumwelewa.
"Utanifanya chochote utakachotaka."
"Mmenigundua vipi?" Murphy aliuliza akirekebisha suruali.
Usalama wa Taifa ni akili si ukali. Kazi yake, au wajibu wake; ni kukusanya, kuchanganua, kudurusu na kuunganisha kwa makini, taarifa nyeti za kijasusi za ndani na nje ya nchi kuilinda Tanzania na watu wake. Ukitaka kuwa na akili kuwa kawaida. Ukitaka kuwa na nguvu kuwa mkarimu. Ukitaka kuwa tajiri kuwa tajiri wa unyenyekevu.
Enock MaregesiTags: inspirational
Kolonia Santita ni kitabu cha Kiswahili. Si Kingereza wala Kihispania. Lazima tujifunze kuipenda na kuitetea lugha yetu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Enock MaregesiTags: informational
Watu wanaohatarisha maisha yao kwa kudharau sheria wakati mwingine hawatakiwi kudharauliwa. Ni sawa na mtu aliyepoteza kila kitu katika maisha yake. Wana uwezo wa kufanya chochote.
Enock MaregesiTags: inspirational
Rais wa Tume ya Dunia hakuchaguliwa kuwa kitu katika tume. Alichaguliwa kufanya kitu katika dunia.
Enock MaregesiTags: industriousness
People don't follow ordinary people; they follow extraordinary people.
Enock MaregesiTags: fame
Addiction isn't about using drugs. It's about what the drug does to your life.
Enock MaregesiTags: drug-addiction
« first previous
Page 2 of 10.
next last »
Data privacy
Imprint
Contact
Diese Website verwendet Cookies, um Ihnen die bestmögliche Funktionalität bieten zu können.