Kama mwanadamu una haki ya msingi kuwa na amani katika maisha.
Enock MaregesiTag: life peace right inner-peace human-being
Kadiri unavyozidi kupanda juu ndivyo utakavyoanguka vibaya.
Enock MaregesiTag: harm drugs drug-abuse
Kuikaribisha amani ya Mungu katika maisha yangu kumenisaidia. Naishi mbinguni duniani.
Enock MaregesiTag: life peace god heaven earth divine
Ukitaka kuwa mfanyabiashara mzuri wa madawa ya kulevya usitumie madawa ya kulevya. Siri ya mafanikio ya Kolonia Santita ni nidhamu na kitalifa.
Enock MaregesiTag: success drugs allegiance businessman
Utakapofika mwisho wa njia, geuka. Huo ndiyo mwanzo wa njia nyingine.
Enock MaregesiTag: perseverance end don-t-give-up turn
Amani ya nafsi ni zaidi ya amani ya kisiasa. Amani ya kisiasa itaweza kupatikana endapo watu watakuwa na amani ndani ya mioyo yao. Watu wakiithamini amani na kuielewa watayafurahia maisha yao, na mataifa yakiithamini amani na kuielewa yatastawi. Vita hutengenezwa ndani ya mioyo ya watu. Ukiitafuta amani ndani ya moyo wako, taifa halitasimama kupigana na taifa, amani itaweza kupatikana.
Enock MaregesiTag: peace right inner-peace human-being
Mtu akikupigia simu analia mwambie anyamaze na amshukuru Mungu. Imani ya Mungu ni kubwa kuliko matatizo aliyoyapata.
Enock MaregesiTag: blessings god faith problems
Ndoto yako haitakufa mpaka utakapokufa. Usikate tamaa, kabisa!
Enock MaregesiTag: dreams die perseverance lovers give-up haters
Watu wanahitaji elimu na ajira kuwaepusha na janga la madawa ya kulevya.
Enock MaregesiTag: education parents children drugs schools employment curriculum
Halafa hailipi.
Enock MaregesiTag: people punishment media crime pay
« prima precedente
Pagina 8 di 10.
prossimo ultimo »
Data privacy
Imprint
Contact
Diese Website verwendet Cookies, um Ihnen die bestmögliche Funktionalität bieten zu können.